top of page
Search


KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAA MITANDAONI
Uongozi wa CPT Taifa unapenda kutoa taarifa rasmi ya kukanusha taarifa yenye kichwa cha habari "TAARIFA RASMI YA CPT” (The Catholic Professionals of Tanzania) inayosambaa kwenye mitandao ya Kijamii hususani whatsapp, facebook nk.
7 days ago1 min read


RIPOTI RASMI YA MKUTANO MKUU WA CPT 2025
Christian Professionals of Tanzania (CPT) ilifanya Mkutano wake Mkuu wa mwaka 2025 ukiwakutanisha wanataaluma Wakristo kutoka majimbo mbalimbali nchini kwa lengo la kutafakari, kujadili na kuweka mwelekeo wa utume wa CPT katika kulihudumia Kanisa na Taifa.
Nov 29, 20251 min read


HITIMISHO: JE, TANZANIA NI TAIFA LENYE UMOJA AU LIMEGAWANYIKA?
Tunapohitimisha mada yetu, tujiulize kwa uaminifu na bila unafiki:
Je, Taifa la Tanzania kwa sasa lina umoja na mshikamano au limegawanyika kati ya maskini na matajiri, vijana na wazee, wanawake na wanaume?
Nov 7, 20251 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (III)
Katika miaka ya utekelezaji wa utume wake, Christian Professionals of Tanzania (CPT) imeendelea kufanya kazi kwa mafanikio makubwa katika ngazi ya kitaifa. Hata hivyo, pamoja na juhudi kubwa zilizofanywa, bado haijafanikiwa kupenya kwa kiwango cha kuridhisha katika ngazi za Majimbo na Parokia.
Oct 22, 20251 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (II)
Uanzishwaji wa Christian Professionals of Tanzania (CPT) ulikuwa na safari ndefu na yenye changamoto nyingi kabla ya kufikia uimara ulionao leo.
Asili ya CPT inarudi nyuma hadi kwenye umoja wa vijana wa Tanzania Young Catholic Students (TYCS) uliokuwa hai katika miaka ya mwishoni mwa 1960 hadi 1970.
Oct 22, 20251 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (SEHEMU YA KWANZA)
Utume wa wasomi na wanataaluma katika Kanisa (CPT) ni sehemu muhimu ya kazi ya kichungaji na umisionari katika mazingira ya sasa ya Tanzania. Wasomi wakristo, kama sehemu ya Kanisa, wanachukua jukumu la pekee katika kuhakikisha Injili inagusa maisha halisi ya jamii kupitia taaluma, maarifa na ujuzi walioubatizwa nao.
Oct 21, 20251 min read
bottom of page
