UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (II)
- CPT Media
- Oct 22
- 1 min read
JINSI CPT ILIVYOTEKELEZA UTUME WAKE KATIKA MIAKA 40 YA UHAI WAKE.
Chimbuko la CPT
Uanzishwaji wa Christian Professionals of Tanzania (CPT) ulikuwa na safari ndefu na yenye changamoto nyingi kabla ya kufikia uimara ulionao leo.
Asili ya CPT inarudi nyuma hadi kwenye umoja wa vijana wa Tanzania Young Catholic Students (TYCS) uliokuwa hai katika miaka ya mwishoni mwa 1960 hadi 1970. Wazo la kuwaunganisha wasomi na wanataaluma Wakristo lilitokana na hitaji la kujibu changamoto za wakati huo za kijamii, kisiasa na kidini.
Sikiliza sehemu hii ya pili kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/QSigKRq74zo?si=J6zNGflJTCVY6aQD, pia pakua nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea.





Comments