UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (SEHEMU YA KWANZA)
- CPT Media
- Oct 21
- 1 min read
Updated: Oct 22
Utume wa wasomi na wanataaluma katika Kanisa ni sehemu muhimu ya kazi ya kichungaji na umisionari katika mazingira ya sasa ya Tanzania. Wasomi wakristo, kama sehemu ya Kanisa, wanachukua jukumu la pekee katika kuhakikisha Injili inagusa maisha halisi ya jamii kupitia taaluma, maarifa na ujuzi walioubatizwa nao.
Sikiliza sehemu hii ya kwanza kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/cn-0gmIR_lk?si=DD2hMzczZKPAGwmo pia nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea.





Comments