top of page
Search

MWALIKO WA TAFAKARI YA KISINODI

  • Mar 12
  • 1 min read

Nafasi ya wanataaluma katika kuijenga Tanzania.


 Christian Professionals of Tanzania (CPT) tunawaalika wasomi na wataalamu wote kutafakari kwa pamoja kuhusu hali ya taifa letu na wajibu wetu katika kujenga amani, haki na maridhiano.


Pakua nyaraka iliyoambatanishwa hapo chini kwaajili ya kutafakari pamoja na usisite kutoa maoni yako kupitia barua pepe cptprof15@gmail.com na pia katika comment section.



Comments


Sheria na Masharti

Tamko la Ufikiaji

© Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT)

  • Facebook
  • Instagram
  • YouTube
bottom of page