top of page
Search


HITIMISHO: JE, TANZANIA NI TAIFA LENYE UMOJA AU LIMEGAWANYIKA?
Tathmini ya Kijamii na Wito wa Kurejea Dira ya Ujamaa. Tunapohitimisha mada yetu, tujiulize kwa uaminifu na bila unafiki: Je, Taifa la Tanzania kwa sasa lina umoja na mshikamano au limegawanyika kati ya maskini na matajiri, vijana na wazee, wanawake na wanaume? Sikiliza sehemu hii ya hitimisho kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/skiQBWJn8u8?si=8rAyg-6p-T5tZaHL , pia pakua nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea. Pia, endelea kuchangia mawazo yako juu ya m
11 minutes ago1 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (III)
CHANGAMOTO ZINAZOUKABILI UTUME WA CPT NA MWELEKEO WA MBELE. Changamoto Kuu Katika miaka ya utekelezaji wa utume wake, Christian Professionals of Tanzania (CPT) imeendelea kufanya kazi kwa mafanikio makubwa katika ngazi ya kitaifa. Hata hivyo, pamoja na juhudi kubwa zilizofanywa, bado haijafanikiwa kupenya kwa kiwango cha kuridhisha katika ngazi za Majimbo na Parokia. Sikiliza sehemu hii ya pili kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/tncefgL7weg?si=ZeSvO_CeW_DJxlw0 ,
Oct 221 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (II)
JINSI CPT ILIVYOTEKELEZA UTUME WAKE KATIKA MIAKA 40 YA UHAI WAKE. Chimbuko la CPT Uanzishwaji wa Christian Professionals of Tanzania (CPT) ulikuwa na safari ndefu na yenye changamoto nyingi kabla ya kufikia uimara ulionao leo. Asili ya CPT inarudi nyuma hadi kwenye umoja wa vijana wa Tanzania Young Catholic Students (TYCS) uliokuwa hai katika miaka ya mwishoni mwa 1960 hadi 1970. Wazo la kuwaunganisha wasomi na wanataaluma Wakristo lilitokana na hitaji la kujibu changamoto za
Oct 221 min read


UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (SEHEMU YA KWANZA)
Utume wa wasomi na wanataaluma katika Kanisa ni sehemu muhimu ya kazi ya kichungaji na umisionari katika mazingira ya sasa ya Tanzania. Wasomi wakristo, kama sehemu ya Kanisa, wanachukua jukumu la pekee katika kuhakikisha Injili inagusa maisha halisi ya jamii kupitia taaluma, maarifa na ujuzi walioubatizwa nao. Sikiliza sehemu hii ya kwanza kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/cn-0gmIR_lk?si=DD2hMzczZKPAGwmo pia nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea.
Oct 211 min read
bottom of page
