UMUHIMU WA UTUME WA WASOMI/WANATAALUMA KATIKA KAZI YA KICHUNGAJI NA UMISIONARI TANZANIA. (III)
- CPT Media
- Oct 22
- 1 min read
CHANGAMOTO ZINAZOUKABILI UTUME WA CPT NA MWELEKEO WA MBELE.
Changamoto Kuu
Katika miaka ya utekelezaji wa utume wake, Christian Professionals of Tanzania (CPT) imeendelea kufanya kazi kwa mafanikio makubwa katika ngazi ya kitaifa. Hata hivyo, pamoja na juhudi kubwa zilizofanywa, bado haijafanikiwa kupenya kwa kiwango cha kuridhisha katika ngazi za Majimbo na Parokia.
Sikiliza sehemu hii ya pili kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/tncefgL7weg?si=ZeSvO_CeW_DJxlw0, pia pakua nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea.





Comments