HITIMISHO: JE, TANZANIA NI TAIFA LENYE UMOJA AU LIMEGAWANYIKA?
- CPT Media
- 29 minutes ago
- 1 min read
Tathmini ya Kijamii na Wito wa Kurejea Dira ya Ujamaa.
Tunapohitimisha mada yetu, tujiulize kwa uaminifu na bila unafiki:
Je, Taifa la Tanzania kwa sasa lina umoja na mshikamano au limegawanyika kati ya maskini na matajiri, vijana na wazee, wanawake na wanaume?
Sikiliza sehemu hii ya hitimisho kupitia channel yetu ya Youtube https://youtu.be/skiQBWJn8u8?si=8rAyg-6p-T5tZaHL, pia pakua nakala iliyoambatanishwa hapa kwaajili ya rejea.
Pia, endelea kuchangia mawazo yako juu ya mada yetu hii kupitia simu, barua pepe na anuani ya CPT zinzopatikana katika tovuti hii, nakala iliyoambatanishwa hapa na katika mitandao yote ya kijamii.





Comments