MWALIKO WA TAFAKARI YA KISINODI
- Mar 12
- 1 min read
Nafasi ya wanataaluma katika kuijenga Tanzania.
Christian Professionals of Tanzania (CPT) tunawaalika wasomi na wataalamu wote kutafakari kwa pamoja kuhusu hali ya taifa letu na wajibu wetu katika kujenga amani, haki na maridhiano.
Pakua nyaraka iliyoambatanishwa hapo chini kwaajili ya kutafakari pamoja na usisite kutoa maoni yako kupitia barua pepe cptprof15@gmail.com na pia katika comment section.





Asanteni sana wanataaluma wa Tanzania kwa tafakari nzuri na yenye kujenga. Hakika tunapaswa kuchukua hatua.