CPT & TMCS Alumni Forum
Jumapili, 13 Jul
|Ukumbi wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph
Mandhari: Maana na Umuhimu wa Utume wa Wasomi Wakatoliki katika Jamii. Imetolewa na: Fr. Vic Missaen.


Time & Location
13 Jul 2025, 08:00 – 15:30
Ukumbi wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, 24 Sokoine Dr, Dar es Salaam, Tanzania
About the event
CPT NA TMCS AlumNI FORUM 2025.
Jumuiya ya Wanataaluma wa Kikristo Tanzania (CPT) inawakaribisha Wahitimu wote wa TMCS (TANZANIA MOVEMENT OF CATHOLIC STUDENTS) kujumuika kwenye jukwaa maalum lenye lengo la kuimarisha nafasi ya wanataaluma wa kikatoliki na kujenga ushirikiano mkubwa katika kulitumikia Kanisa na jamii.
Tarehe: Jumapili, Julai 13, 2025
Muda: Tukio litaanza saa 8:00 asubuhi kwa adhimisho la Misa Takatifu
Mahali: Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam
MAWASILISHO MUHIMU.
